Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Makubwa Haya!! BINTI AFARIKI BAADA YA KULA MCHANGA WA KABURI...ALIAMBIWA NA MCHUNGAJI WA KANISA


KENYA: Binti mmoja amefariki dunia baada ya kula mchanga wa kaburi


Mhubiri alimshauri ale mchanga huo kwa madai kuwa ana mizimu


Inasemekana baada ya kunyweshwa dawa, ndivyo hali ya afya ya msichana huyo ilivyozidi kuwa mbaya hadi akapoteza fahamu.


Hata hivyo mhubiri mwenyewe amejitetea akisema huenda ilitokana na familia ya marehemu kutokuwa na Imani na maombi yake ya uponyaji.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com