Mpyaa!! SIKILIZA WIMBO MPYA WA ROMA MKATOLIKI & BAGHDAD-Unaitwa "UNA AKILI WEWE??"
الجمعة, ديسمبر 04, 2015
Huu ni muunganiko wa wasanii wawili tokea hapa bongo Baghdad na Roma Mkatoliki ambapo leo Dec 4, 2015 wameachia rasmi ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “Una akili wewe”.
Tayari nimekusogezea hapa na kazi yako ni kubonyeza Play hapa chini ili kuisikiliza
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin