Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NIMEKUWEKEA PICHA 9 JINSI USAFI ULIVYOFANYIKA MJINI SHINYANGA,TIGO NAO WAMO,VIWANJA VYA SHYCOM AIBU!!


Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi TIGO mjini Shinyanga wakifanya usafi katika jengo la ofisi yao karibu na soko kuu mjini Shinyanga katika kuadhimisha miaka 54 ya uhuru wa Tanganyika,ambapo zoezi la kufanya usafi limefanyika nchi nzima kuunga mkono agizo la rais John Pombe Magufuli aliyetaka siku siku ya Desemba 9 mwaka huu itumike kwa ajili ya kufanya usafi-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog



Wafanyakazi wa Tigo wakiendelea kufanya usafi kama walivyonaswa na kamera za mtandao huu leo asubuhi



Tunafanya usafi.....Hapa Kazi tu....



Wakiendelea kufanya usafi


 
Tunafanya usafi....



Makada wa Chama Cha Mapinduzi wakifanya usafi nje ya ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga mjini leo asubuhi




Makada wa CCM wakifanya usafi



Makada wa CCM wakipumzika baada ya kumaliza kufanya usafi



Hivi i viwanja vya Shycom mjini Shinyanga ambavyo pamoja na kutumiwa kwa shughuli mbalimbali ikiwemo mikutano ya vyama vya siasa,kiwanja hicho hakijafanyiwa usafi,nyasi ni ndefu lakini pia kuna uchafu kama unavyoonekana pichani...sehemu ya viwanja hivyo ikiwa imegeuzwa dampo-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com