Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI AMTEUA VALENTINO MLOWOLA KUWA NAIBU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU NCHINI TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John P. Magufuli, amemteua Valentino Mlowola, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Lilian Mashaka aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.


Kabla ya Uteuzi Mlowola alikuwa ni Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelijensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi.


Pia,kabla ya kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi na Mkurugenzi Intelejensia ya Makosa ya Jinai katika Jeshi la Polisi alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com