RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA TAKUKURU DR HOSEA
Wednesday, December 16, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa TAKUKURU Dk. Edward HOSEA, kwa kushindwa kupambana na rushwa hasa upotevu wa mapato ya serikali bandarini.
Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bwana Valentino Mlowola ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin