UMEIPATA HII YA KUKU KUGOMA KUCHINJWA SIKU YA KRISMAS?? KAKATWA KICHWA LAKINI BADO ANATEMBEA. ANGALIA VIDEO HAPA
Saturday, December 26, 2015
Kuna stori huwa zinagonga vichwa vya habari na kutawala masikioni mwa wengi kwa sababu tu ya aina ya tukio lenyewe… pata picha ndio jana hiyo Christmas unamchinja kuku wa kitoweo alafu bado anatembea kama hajachinjwa hivi !!
Hii ishu iliwahi kutawala sana mitandaoni huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina, kuku kachinjwa kwa ajili ya kuliwa lakini bado akatembea japo kichwa hana… icheki kwenye hii video kutoka Goma, Congo DRC.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin