Video!! JINSI STAA KOFFI OLOMIDE ALIVYOTUMBUIZA NYIMBO YAKE YA "SELFIE" JIJINI DAR ES SALAAM
Thursday, December 10, 2015
December 8 2015 mwimbaji staa Koffi Olomide kutoka Congo DRC alifanya show ya selfie 16 kusherehekea kuzaliwa kwa CloudsFM Escape One Mikocheni Dar es salaam Tanzania, miongoni mwa nyimbo alizoimba ni pamoja na hit song ya ‘selfie’ tazama hii video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin