Video!! KUTANA NA MICHEZO YA WAARABU WA DUBAI NA MAGARI YAO BARABARANI NI HATARI LAKINI WENYEWE HAWAOGOPI
الثلاثاء, ديسمبر 01, 2015
Unaweza ukakutana na picha ukajua labda ni utani watu wametengeneza… au unaweza kuhisi labda ni wataalam wa movie wamefanya mambo yao ya computer !!
Hizi video niliwahi kusogezea mojawapo miezi kadhaa hivi iliyopita, leo nakukumbushia tena mtu wangu !! Unaambiwa kwenye michezo ya waarabu wa Dubai iko na hii ya kutembeza gari kwa ubavu ubavu… gari inatembea kwa tairi mbili tu yani mwanzo mwisho !! Tazama video hizi mbili uone maajabu haya
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin