Video!! MWANAMKE MJAMZITO AHAMISHIA HASIRA KWENYE GARI BAADA YA KUMFUMANIA MUMEWE AKIWA NA MCHEPUKO



Hii video imeenea sana mitandaoni lakini haina maelezo juu ya mazingira ya tukio lenyewe… nimefanikiwa kukipata chanzo cha habari kutoka Brazil wakiwa na stori yote ilivyokuwa mpaka mwanamke huyo kuamua kumalizia hasira zake kwenye gari.


Mwanamke huyo hajatajwa jina, ila tukio limetokea Ceilandia jirani na Jiji la Brasilia, Brazil na ilikuwa December 5 2015… mwanamke ni mjamzito kamfuma mpenzi wake akiwa na mwanamke mwingine mgahawani… hasira yake akaona akamalizie kwa kubonda gari la mpenzi wake.

Video yenyewe hii hapa mwanamke alivyobonda gari kwa mawe na kulikanyaga baada ya fumanizi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post