Watu wawili wamethibitika kufariki dunia na ishirini na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha Basi la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Njombe kupata ajali asubuhi ikitokea Njombe kuelekea Dar es Salaam baada ya kuligonga Lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara katika eneo la Kinegembasi wilayani Mufindi.
Kamanda wa Polisi Mkoani humo Peter Kakamba amethibitisha kutokea kwa vifo na majeruhi.
Social Plugin