ANGALIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2015,WANAFUNZI 324,068 WAMEFAULU KUINGIA KIDATO CHA TATU 2016
Friday, January 15, 2016
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu. BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin