Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA 20!! KIKAO CHA WADAU WA ELIMU MKOANI SHINYANGA

Hapa ni ndani ya ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambako kunafanyika kikao cha wadau wa elimu katika mkoa wa Shinyanga,wakijadili namna ya kuboresha kiwango cha elimu.Kikao hicho kimeongozwa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga.Angalia picha hapa chini
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga akifungua kikao hicho ambapo pamoja na kuelezea mafanikio ya mkoa katika elimu amezitaja changamoto zinazoikabili sekta ya elimu katika mkoa huo,ambazo ni pamoja na upungufu wa madawati,matundu ya vyoo na baadhi ya wazazi kuwakatisha masomo watoto wao kwa kuozesha

Wadau wa elimu wakiwa ukumbini


Kulia ni afisa elimu wa mkoa wa Shinyanga Mohamed Kahundi

Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga  Abdul Dachi akiwa ukumbini


Wakuu wa wilaya za mkoa wa Shinyanga wakiwa ukumbini,kulia ni Hawa Ngh'umbi kutoka wilaya ya Kishapu,katika mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro,kushoto ni Vita Kawawa kutoka wilaya ya Kahama
Meza kuu


Wadau wakiwa ukumbini
Kikao kinaendelea
Kikao kinaendelea
Wadau wakiwa ukumbini

Kikao kinaendelea


Wadau wakiwa ukumbini wakifuatilia kwa umakini kinachoendelea



Wadau wa elimu wakifuatilia kinachoendelea ukumbini


Kikao kinaendelea

Wadau wakitafakari jambo ukumbini

Kikao kinaendelea



Kikao kinaendelea

Wadau wakiwa ukumbini

Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Shinyanga

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com