ASKARI POLISI AUA KIJANA KISA POCHI YENYE KADI ZA BENKI NA KITAMBULISHO HUKO MWANZA
Monday, January 04, 2016
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemshikilia askari no.F.4965 PC JOEL FRANCIS Kwa tuhuma kumpiga na kumsababishia kifo kijana Donard Magalata aliyekuwa akiishi naye nyumbani kwake.
Askari huyo alimpiga kijana Donald mara baada ya kubaini kuwa pochi yake iliyokuwa na kadi mbili za benki na kitambulisho cha kazi havipo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin