Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAYA HAPA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MEYA ILALA NA KINONDONI,CHADEMA WANG'AA KILA KONA









Diwani wa Ubungo Boniface Jacob kutoka CHADEMA ameibuka kidedea na ushindi wa kura 38 baada ya kushinda umeya na kumshinda mpinzania wake Benjamini Sitta wa Chama cha Mapinduzi CCM aliyepata kura 20 Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Wakati huo huo Bw. Charles Kuyeko (CHADEMA) amechaguliwa kuwa Meya wa manispaa ya Ilala na Omary Kumbilamorto (CUF) kuwa naibu Meya

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com