Rais John Magufuli, amemkatalia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ), Jenerali Davis Mwamunyange, kustaafu na amemuongezea muda wa mwaka mmoja wa utumishi kwenye jeshi hilo.
Taarifa hiyo ilitolewa kwa waandishi wa habari na Mwamunyange mwenyewe jana, wakati akizungumzia uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli katika ngazi mbalimbali za majeshi na vyuo vyake, Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII >>HAPA
Social Plugin