Afisa wa polisi kutoka jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akiwatuliza wanafunzi wa shule ya sekondari Buluba iliyopo mjini Shinyanga wasifanye vurugu
Wanafunzi wa shule ya sekondari Buluba wakipiga kelele
Meneja Mkuu wa SHIRECU, Joseph Mihangwa akiwasihi wanafunzi hao waingie darasani
Afisa wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akiwatuliza wanafunzi hao
*******
Januari 25,2016 asubuhi ilikuwa ya aina yake ambapo katika hali ambayo imeshangaza watu wengi na kuzua gumzo kila mtaa mjini Shinyanga wanafunzi wa Shule ya sekondari binafsi ya Buluba iliyopo mjini Shinyanga wameandamana na mabango huku wakipiga kelele hadi kwenye ofisi za makao makuu ya Chama cha Ushirika mkoani Shinyanga (SHIRECU) wakipinga kitendo cha kuondolewa madarakani mkuu wa shule hiyo, Alexander Yegela.
Malunde1 blog baada ya kupewa taarifa kuhusu tukio ilijisogeza kuona kujionea kilichokuwa kinaendelea ambapo wanafunzi hao wakisema wamefanya hivyo kutokana hatua ya uongozi wa bodi ya shule kumfukuza ghafla mkuu wao ambaye amefanya kazi katika shule hiyo kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
BOFYA MANENO HAYA KUSOMA HABARI KAMILI KUHUSU WANAFUNZI HAO
Social Plugin