Picha!! BASI LA NATA RAHA LAPINDUKA NA KUUA WATU KADHAA HUKO MARA
Tuesday, February 23, 2016
Watu saba wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Nata Raha waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kugonga nyumba na kupinduka mkoani Mara. BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin