ANGALIA PICHA ZA AJALI YA BASI LA MASHIMBA EXPRESS KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUUA WATU WANNE PAPO HAPO SHINYANGA
Thursday, February 25, 2016
Basi la Mashimba Express baada ya kugongana na gari ndogo katika eneo la Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga leo wakati likitoka Kahama kuelekea jijini Mwanza.Watu wanne wamepoteza maisha na wengine nane kujeruhiwa.SOMA HABARI KAMILI HAPA
Miili ya marehemu ikiwa karibu na basi la Mashimba Express
Social Plugin