TAZAMA VIDEO MPYA YA MSANII KAKA JAY-Inaitwa AFRICA,IKO HAPA NI NZURI
Friday, February 12, 2016
Msanii wa nyimbo za Kizalendo Joash Timoth Omolo maarufu kwa jina la Kaka Jay,ameachia video mpya ya wimbo wake wa Africa.Bonyeza Play hapa chini kuangalia Video hii
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin