Professa David Cahill amezichukua Headline za Feb 23 baada ya kumzalisha Sokwe kwa mara ya kwanza kwa njia ya upasuaji, Sokwe huyo ambaye alihitaji msaada wa kupumua , ndipo alipofanyiwa upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.
mpaka sasa Mtoto wa Sokwe anaendelea vizuri baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida, Sokwe huyo alizaliwa kwa njia ya upasuaji usio wa kawaida baada ya mama yake kuonyesha ishara ya ugonjwa hatari wa shindikizo la damu, Kumekuwa na sokwe wachache waliofanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua duniani.
Social Plugin