Feb 13 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na Wazee wa Dar na kulihutubia Taifa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, hapo hapo akachukua time yake kuyawasilisha ya moyoni.
Baadhi ya aliyozungumza ni pamoja na ‘Nataka mjue kuwa ni watu wachache sana ambao wametufikisha hapa, tutawashughulikia kwa faida yenu ‘
Hili la utajiri pia limemgusa ‘Kuna watu kwao pesa siyo tatizo, na bahati mbaya pesa zenyewe hawajazipata kwa njia halali‘
Vipi kuhusu siku zake 100 za uongozi? ‘Inawezekana mnatupima sisi katika siku 100, lakini na ninyi mnasahau mmefanya nini kwa siku 100‘
BOFYA MANENO HAYA KUSIKILIZA HOTUBA YOTE AU HAPA
Social Plugin