Wasukuma Mpoo?!! ANGALIA NGOMA LIVE "MBINA" YA MSANII MGOTE MDOGO,NAKUPELEKA NGOMANI DAKIKA 22 TU
Saturday, October 29, 2016
Kupitia kipengele cha Nyimbo za asili,leo Malunde1 blog inakukutanisha na msanii wa nyimbo za asili za Kisukuma wenyewe wanaziita "Mbina".Mgote Mdogo ni mtoto wa manju maarufu "Mgote" kutoka Shinyanga..Leo Tunakupeleka ngomani live hakika utafurahia uwepo wa Malunde1 blog.
Naomba utumie dakika 22 kutazama ngoma hii ya Kisukuma.Bonyeza Play hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin