KUHUSU KIVUKO CHA MV KIGAMBONI KULETA BALAA LEO..SABABU NI HII
Thursday, February 11, 2016
Tafrani ilizuka Kivuko Cha Mv Kigamboni mapema leo asubuhi baada ya kivuko hicho kupata hitilafu na kuzua taharuki kwa abiria waliokuwa wakivuka huku wengine wakiruka hovyo ili kuweza kujiokoa. Chanzo kimeeleza huenda hitilafu hiyo ilitokana na kivuko hicho kuzidisha abiria.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin