Picha!! KOMREDI KINANA ATINGA SINGIDA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM
Wednesday, February 03, 2016
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone alipowasili mjini Singida LEO JIONI, kwa ajili ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika mkoani Singida Februari 6, mwaka huu.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na wananchi.
Komredi Kinana akisalimiana na Kone.
Komredi Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi baada ya kuwasili Singida leo.
Nape Nnauye akisalimiana na wananchi alipowasili mjini Singida leo
Komredi Kinana akiwa na baadhi ya wananchi wa Singida waliomlaki
Komredi Kinana na Nape wakiwa na wafuasi wa CCM pamoja na wananchi baada ya kuwasili mjini Singida.
Komredi Kinana akiwa na Kone (kulia) na Amanzi
Wananchi wakiimba wimbo wakati wa kumlaki Komredi Kinana
Komredi Kinana akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Kone PICHA ZOTE NA KAMANDA WA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin