RAIS MAGUFULI AMSIFIA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI,PAUL MAKONDA,USISHANGAE AKIPANDA CHEO
Sunday, February 14, 2016
Magufuli akiongea na Wazee wa Dar es Salaam Amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na Kusema siku akipanda cheo watu wasinung'unike, kazi yake imeoneakana na heshima yake imeonekana
Hongera Makonda. Nyota yako imewaka. Mh Raisi kakuona... Sasa usiende kulala.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin