SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA HARMONIZE Ft DIAMOND PLATNUMZ- Unaitwa BADO
Monday, February 29, 2016
Kutoka Lebel ya WCB Harmonize katuletea hii ambayo amemshirikisha Boss wake, Diamond Platinum kwenye Audio ya Bado’ kutoka kwa producer Flaga na Laizer kutokea lebel ya WCB.
Unaweza ukaisikiliza nyimbo ya Harmonize ft Diamond Platinumz ‘Bado’ hapa chini…..
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin