Video Mpya Kabisa!! MAMA USHAURI-Inaitwa MAKOYE GANE,TAZAMA HAPA
Sunday, February 28, 2016
Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri maarufu kwa jina la Ng'ombe Ulaya kutoka Tinde Shinyanga ameachia video yake mpya inaitwa Makoye Gane...Malunde1 blog kupitia kipengele chake cha Nyimbo za asili imekusogezea video hii kali...Itazame hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin