VITUKO MTANDAONI,ZIKO HAPA PICHA 20 PICHA ZA VITUKO SIMBA SC KUFUNGWA NA YANGA,UTACHEKA MPAKA MBAVU ZIUME,POLE WANA SIMBA
Sunday, February 21, 2016
Nimepita katika mitandao mbalimbali ya kijamii,lakini kila kona ni kilio cha Simba SC!! Mashabiki wa Yanga Vicheko..Picha za Vituko kwa watani hawa wa jadi zimekuwa gumzo,nimeona nikusogezee na wewe uone kinachoendelea,nimezikusanya picha 20 angalia hapa mtu wangu
Social Plugin