Wahaya Mpoo?!! TAZAMA VIDEO MPYA YA SAIDA KAROLI- Inaitwa ROLLA
Friday, February 26, 2016
Ni weekend nyingine msomaji wa Malunde1 blog hususani wa mpenzi wa nyimbo za asili tunakutana katika kile kipengele cha Nyimbo za asili...Leo Msanii wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kihaya Saida Karoli kutoka mkoani Kagera ametualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa "Rolla".
Tazama video hii mpya na kali ,hakika utaipenda
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin