Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARAH DUMBA AZIKWA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba aliyefariki dunia Machi 21, mwaka huu amezikwa leo katika makaburi ya Magogoni, Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo ndugu jamaa na marafiki wameshiriki katika mazishi hayo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com