Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BALAA JIPYA MAKALIO YA KICHINA ,MADHARA YA DAWA ZA KUONGEZA "ZIGO" USIPIME SOMA HAPA


 
Tabia ya baadhi ya wasichana hasa wa mjini kuwa na tamaa ya kuwa na makalio makubwa na hivyo kulazimika kutumia dawa mbalimbali, imekuwa ikishamiri kila siku licha ya serikali kupiga marufuku uingizwaji wa dawa hizo.

Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, kasi ya matumizi ya dawa hizo yamekuwa yakishamiri huku waathirika wengi wakijiuguza kwa siri baada ya kupata madhara.

BONYEZA MANENO HAYA KUENDELEA KUSOMA HABARI HII MBAYA KWA WANAWAKE,MADHARA YA KUONGEZA MAKALIO "ZIGO"

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com