BASI LA LEINA TOURS LA KAHAMA- DAR LAPATA AJALI,LATUMBUKIA MTARONI
Monday, March 14, 2016
Basi la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kwenda Dar es Salaam,
limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha usiku wa
kuamkia leo
Idadi ya waliofariki haijafahamika ila
waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa Haospitali ya
Mwananyamala na Muhimbili.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin