KARATASI KWA AJILI YA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR ZAWASILI KUTOKA AFRIKA KUSINI
Friday, March 11, 2016
Karatasi za kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar utakaofanyika machi 20 zimewasili Zanzibar kwa ndege maalum ya kukodi kutoka Afrika Kusini ambapo ndipo zilipochapwa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin