Kwenye game ambazo zimechezwa jana kwenye ardhi ya Tanzania Full Time ya Coastal Union vs Simba SC ilikuwa 0-2 wakati Stand United vs Ndanda ilikuwa 1-1 na Majimaji FC vs Mbeya City ilikuwa 3-1 na game ya Yanga vs APR ya Rwanda ikawa 1-1.
Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika wamesogea kwenye round inayofata baada ya ushindi wao dhidi ya APR (Aggregate 3-2)
Social Plugin