MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR YATANGAZWA,DR SHEIN ASHINDA KWA ASILIMIA 91.4
Monday, March 21, 2016
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha amemtangaza Rasmi Mgombea urais wa CCM Dr. Ali Mohammed Shein kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Zanzibar akiwa na kura 299.982 sawa na asilimia 91.4. ==> Matokeo yote kama yalivyotangazwa yako hapo chini....
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin