MHESHIMIWA LOWASSA ATUA MWANZA KWA AJILI YA BARAZA KUU LA CHADEMA KESHO
Friday, March 11, 2016
Mh Edward Lowassa akiwasili Hotel ya Gold Crest jijini Mwanza Mh Hawa Mwaifunga (makamu mwenyekiti baraza la wanawake chadema-bawacha) na Mh Ester Bulaya (Mb-bunda mjini) wakimlaki Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin