Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MKUU MPYA WA MKOA WA SHINYANGA ANNE KILANGO MALECELA AKABIDHIWA OFISI NA KUTAMBULISHWA KWA VIONGOZI WA MKOA NA WILAYA,PICHA ZIKO HAPA



Leo Jumatatu ya tarehe 21.03.2016 mkuu mpya wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela(pichani) amekabidhiwa ofisi ya mkoa wa Shinyanga kisha kutambulishwa kwa viongozi wa mkoa wa Shinyanga,wilaya na halmashauri zote za wilaya katika mkoa .Zoezi hilo limefanywa na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Ally Rufunga.Kilango amechukua nafasi ya Rufunga baada ya kuteuliwa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli hivi karibuni.




Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga akimkaribisha mkuu mpya wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela

BONYEZA MANENO HAYA KUANGALIA PICHA 24 WAKATI MKUU MPYA WA MKOA WA SHINYANGA AKITAMBULISHWA KWA VIONGOZI WA MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com