Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala bora Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame, amemtembelea kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ambaye yuko hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mapumziko baada ya kutolewa hospitali.
Amesema afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku. Dkt. Shein alifika hotelini hapo jana saa mbili usiku. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akimjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanibar Maalim Seif Shariff Hamad hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akimjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanibar Maalim Seif Shariff Hamad hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Picha na OMKR
Social Plugin