RUNGU LA MAGUFULI LATUA IKULU! ATEUA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA, OMBENI SEFUE "OUT"
Sunday, March 06, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine. Gerson Msigwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU Dar es Salaam 06March,2016
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin