TAZAMA HAPA FILAMU YA YESU KWA LUGHA YA KISUKUMA (The Jesus Film - Sukuma Language Tanzania)
Saturday, December 25, 2021
Wakati wakristo kote duniani wakisherekea sikukuu ya Krismasi weekend hii,Malunde1 blog imekuletea Filamu kuhusu Maisha ya Yesu iliyochezwa kwa kutumia Lugha ya Kisukuma....Tazama hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin