Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video: BHUDAGALA MWANAMALONJA- BHASOBI

Ni weekend nyingine wapenzi wa nyimbo za asili kupitia kipengele cha Nyimbo za asili cha Malunde1 blog,nakusogezea video ya gwiji wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Bhudagala Mwanamalonja kutoka kanda ya ziwa..wimbo unaitwa Bhasobi..Enjoy mtu wangu..bonyeza play hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com