TAZAMA VIDEO MPYA YA JUMA NATURE Ff CANNIBAL- Inaitwa KIDARUSO,NI NGOMA KALI BALAA
Thursday, March 24, 2016
Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii kamshirikisha Cannibal wa Kenya inaitwa ‘Kidaruso",bonyeza play hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin