Wimbo mpya wa Kisukuma!! TAZAMA VIDEO YA MSANII KISIMA KUTOKA BARIADI-Wimbo unaitwa SUNDI
Sunday, March 20, 2016
Kama kawaida ya Malunde1 blog kila mwisho wa wiki huwa tunakuletea nyimbo za asili...leo tunakukutanisha na Msanii wa Nyimbo Za Asili kutoka Bariadi mkoani Simiyu anaitwa Kisima wimbo unaitwa Sundi..Tazama Video hii kali hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin