Duniani zipo sehemu nzuri na za kuvutia zaidi, maeneo mengi ya visiwani yanawezekana yakaongoza kwa kuvutia kutokana na kuwa na mazingira mazuri ya asili yanayovutia, watu wengi hutumia maeneo haya kwa ajili ya mapumziko na utalii.
Mtandao wa CNN wametoa orodha ya visiwa 10 bora zaidi duniani mwaka 2016
10. Fernando de Noronha, Brazil
Idadi ya watu wanaoruhusiwa kutembelea fukwe ya Fernando de Noronha ina kiwango
9. Bora Bora, French Polynesia
Fukwe zenye mchanga mweupe na rasi ya bluu ni sababu mbili ambazo zimeifanya Bora Bora kuwa kwenye nafasi ya tisa kwa mwaka wa pili mfululizo
8. Phuket, Thailand
.
7. Mauritius, Africa
.
6. Mallorca, Spain
.
5. Bali, Indonesia
Bali ni kati beach nzuri inayojulikana lakini pia ina mfumo wa matuta ya mchele ambayo yanalindwa na UNESCO
4. Providenciales, Turks and Caicos
Inajulikana kama ‘Provo’ Providenciales ni kisiwa kilichoendelea sana.
3. Jamaica, Caribbean
Haikuwa kwenye orodha ya Top ten mwaka uliopita lakini sasa imefika hadi nafasi ya tatu
2. Santorini, Greece
Kisiwa hiki kina Mabaki ya Volcano iliyolipukia kwenye bahari ya Aegean na ina beach yenye mchanga mweusi
1. Maui, Hawaii
Kisiwa hiki kina beach nzuri na zenye kuvutia zaidi ya 80
Social Plugin