Shirika la lisilo la kiserikali la The Voice of Marginalized Community (TVMC) linalotoa huduma za kijamii kwa upande wa vijana ,watoto na wanawake na makundi yasiyojiweza linaawalika vijana wa rika zote kutoka ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga kuhudhuria jukwaa la vijana litakalofanyika kesho tarehe 16.04.2016 saa 8:00 mchana katika ukumbi wa Ibanza Hotel mjini Shinyanga.
Mada itakayozungumziwa ni "Je? KIJANA UNATUMIAJE FURSA UNAZOISHI NAZO KATIKA MAENEO YAKO?"
Kijana Fika bila kukosa,hii ni kwa faida yako,hakuna kiingilio!
Limetolewa na Musa Jonas
Mkurugenzi wa TVMC
Social Plugin