JAMES MBATIA ATHIBITISHWA NA MAHAKAMA KUWA MBUNGE WA MVUNJO
Monday, April 04, 2016
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mh.James Mbatia pichani kati,amethibitishwa na mahakama kuu kuwa mbunge halali wa Jimbo hilo baada ya Augustino Lyatonga Mrema kuifuta kesi hiyo . Kesi hiyo ya uchaguzi katika jimbo la Vunjo ilifunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Augustino Lyatonga Mrema.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin