Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MBUNGE WA SUMVE NAYE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA RUSHWA



Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa amepandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu leo akituhumiwa kuomba rushwa ya Shilingi milioni 30 akiwa kwenye Kamati za Bunge.



Ndasa anakuwa mbunge wa nne wa CCM kupandishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa baada Mbunge wa Mwibala, Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa kupandishwa mahakamani jana kwa tuhuma za kuomba rushwa ya milioni 30 toka kwa mkurugenzi wa Gairo ili taarifa yake ipitishwe bila kujadiliwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com