Ngoma Mpya ya Kisukuma!! Lushu Lo Ngeni- Wimbo Bhalimi
Saturday, April 23, 2016
Kama kawaida ya Malunde1 blog kila mwisho mwa wiki huwa inakuletea nyimbo za asili,leo tunakukutanisha na msanii Lushu Lo Ngeni inaitwa “Bhalimi”,angalia video hii kali na ya aina yake....
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin