Sikiliza Na Download Wimbo Mpya wa Mr. Miambo Kutoka Shinyanga- Unaitwa "Nyota Njema"
Wednesday, April 20, 2016
Msanii Mr Miambo,Sikiliza na Download hapa chini Msanii mkali kutoka Shinyanga Mr. Miambo ambaye sasa makazi yake yupo Jijini Dar es salaam ametukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Nyota Njema.Mr Miambo anawakilisha kundi la Ndalbizo Empire.Wimbo wa Nyota Njema umerekodiwa katika studio ya Tairano Music, producer ni Amiger Tiger.
Sikiliza na Download wimbo huu hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin