Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Amatus Liyumba Afariki Dunia
Monday, April 18, 2016
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia leo. Msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar es salaam. RIP Amatus Liyumba
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin